>

KIKOSI CHA IHEFU V YANGA

KIKOSI cha Ihefu leo kinawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Kwenye kikosi ambacho kimetolewa kwa Ihefu jeshi la kazi lipo namna hii:-  Mapara, Nicolas Wadada Mwasapili Nyosso Kissu Onditi Loth Tigere Mahundi yeye ni nahodha Mwalyanzi Jaffary Kibaya

Read More

NYOTA HAWA YANGA KUIKOSA IHEFU

KIUNGO wa Yanga, Bernard Morrison anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Ihefu utakaochezwa Uwanja wa Highland Estate. Nyota huyo ataungana na wachezaji wengine ikiwa ni pamoja na Feisal Salum, Heritier Makambo ambao hawajawa fiti. Nyota hawa walikosekana pia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City wakati timu hiyo ilipoibuka na ushindi wa mabao…

Read More

PHIRI KAVUNJA REKODI MBOVU SIMBA

MOSES Phiri nyota wa Simba amevunja rekodi yake ya kushindwa kufunga nje ya Dar kwenye mechi za ligi ambazo alicheza msimu huu wa 2022/23. Kibindoni Phiri ana mabao 8 ambapo sita alifunga Uwanja wa Mkapa aliwafunga bao mojamoja Geita Gold,Kagera Sugar,KMC,Dodoma Jiji, Mtibwa Sugar na Namungo. Nje ya Dar ilikuwa dhidi ya Tanzania Prisons, ubao uliposoma Prisons…

Read More

YANGA:MECHI DHIDI YA IHEFU NI NGUMU

CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mechi yao dhidi ya Ihefu ni ngumu kuliko mchezo wa Dabi. Leo Yanga ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate. Yanga imetoka kushinda mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City na mabao yote yalifungwa…

Read More

YANGA MIKONONI MWA IHEFU

BAADA ya kusepa na pointi tatu mbele ya Mbeya City,Novemba 26,2022 Uwanja wa Mkapa kituo kinachofuata ni Highland Estate. Yanga ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City na mtupiaji wa mabao yote mawili alikuwa ni Fiston Mayele ambaye anafikisha mabao 10. Mayele alipachika bao la uongozi kwa pasi ya Khalid Aucho na lile bao la…

Read More

GHANA WAUPIGA MWINGI WAWAPA TABU WAKOREA

GHANA imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Korea Kusini kwenye mchezo wa Kombe la Dunia ambao unatajwa kuwa mmoja ya mchezo bora kutokea mwaka huu 2022 Qatar. Nyota wa Ghana mwenye miaka 22 na siku 118 , Mohammed Kudus anakuwa staa wa pili kutoka Afrika mwenye umri mdogo kufunga mabao mawili kwenye Kombe…

Read More

WATATU SIMBA WAWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA

KWENYE orodha ya nyota watatu wa Simba ambao wameingia fainali ya kuwania mchezaji bora chaguo la mashabiki ndani ya Novemba kiungo Mzamiru Yassin jina lake limepenya pia. Wengine wawili ambao anapambana nao ni pamoja na Shomari Kapombe ambaye ni beki wa kazi pamoja na kiungo mgumu Sadio Kanoute. Kikosi hicho jana Novemba 27,2022 kilikuwa na…

Read More

SUALA LA KUSHUKA DARAJA LIPO, TIMU ZIKUMBUKE HILI

MWANZO siku zote ni wakati wa kutengeneza mwisho kwenye mpango kazi ambao unafanyika hivyo kwa sasa ni maandalizi kwa ajili ya kukamilisha ligi msimu wa 2022/23. Tunaona kuna timu ambazo ushindani wake umekuwa ni wa kawaida wakiamini kwamba wataendelea kucheza ligi hii muda wote hata msimu ukiisha. Kwa wale ambao wanafikiria hivyo kwa sasa ni…

Read More