>

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MBAO FC

LEO Januari 29 Yanga itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya Mbao FC ambayo nayo pia inaska ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza mchezo unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni:- Mshery Aboutwalib Paul Godfrey Yassin Bakari Mwamnyeto Dickson…

Read More

ISHU YA CHAMA KUSHUKA KIWANGO IPO HIVI

LICHA ya baadhi ya mashabiki wa soka kuonyesha kutoridhishwa na kiwango cha kiungo, Clatous Chama kwenye mchezo ambao Simba ilikubali kipigo cha bao 1-0 ugenini dhidi ya Kagera, kiungo fundi wa zamani wa Simba, Mtemi Ramadhan amekuwa tofauti na kiwango alichokionyesha Chama kwenye mchezo huo. Chama amerejea Simba msimu huu wa usajili wa dirisha dogo…

Read More

ADHABU KUMUHUSU MCHEZAJI WA YANGA ATAKAYEZUNGUMZIA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Kikosi cha Yanga, Mohamed Nabi amesema amewapiga marufuku wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo kuzungumzia matokeo mabovu ya mahasimu wao Simba ambayo wamekuwa wakiyapata katika mechi zao za hivi karibuni na badala yake wajikite katika michezo yao na kuhakikisha wanashinda. “Nimewaambia wachezaji sitaki kusikia hata wanazungumza ishu za Simba kwani…

Read More

YANGA WAPIGA HESABU ZA USHINDI MBELE YA MBAO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unawaheshimu wapinzani wao Mbao ambao watacheza nao leo kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora lakini watawafunga.  Mkurugenzi wa Mashindano ndani ya Yanga, Thabit Kandoro amesema kuwa wanatambua kwamba wana mchezo mgumu ila wanahitaji ushindi. “Baada ya droo kuchezwa tulijua kwamba tuna kazi ya kufanya mbele…

Read More

PABLO AKUTANA NA KITU KIZITO KUTOKA BODI YA LIGI

BODI ya Ligi ya Soka Tanzania Bara imempiga faini ya Tsh milioni 3.5, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Martin Franco kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu likiwemo la kupiga teke kiti kwenye mechi dhidi ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Manungu na dakika 90 zilikamilika kwa ubao kusoma…

Read More

SIMBA QUEENS YAPETA MBELE YA MLANDIZI QUEENS

UWANJA wa Bunju Complex, Simba Queens imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mlandizi Queens. Oppa Clement ametupia mawili na moja alitupia kwa penalti na bao jingine lilitupiwa na Laiya Barakat. Pongezi kubwa kwa kipa namba moja wa Mlandizi Queens ambaye alikuea ni mikono mia. Noaely Marakuti alikuwa imara langoni ndani ya dakika 90…

Read More

SIMBA YAIVUTIA KASI DAR CITY

KIKOSI cha Simba leo kimefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Dar City. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari 30 na mshindi atasonga hatua ya 16 bora Katika mchezo wa hatua ya 32 bora yule atakayepoteza mchezo safari yake inafika ukingoni jumlajumla. Ikumbukwe kwamba Simba ni…

Read More

SIMBA QUEENS KAZINI LEO DHIDI YA MLANDIZI QUEENS

LEO Januari 28,2022 Simba Queens inakibarua cha kusaka ushindi mbele ya Mlandizi Queens. Ni mchezo wa Ligi ya Wanawake ambayo inaendelea na unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni. Simba Queens ni mabingwa watetezi wanakutana na Mlandizi Queens ambayo itawakosa baadhi ya nyota wao ambao wamejiunga na timu ya taifa U 20. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika…

Read More

HAWA HAPA WAKALI WA KUCHEKA NA NYAVU SIMBA

LICHA ya Klabu ya Simba kuanza vibaya msimu huu wa NBC Premier League, mshambuliaji wa klabu hiyo Meddie Kagere ameendelea kuweka rekodi zake ngumu ndani ya kikosi hicho kwa kufunga magoli mengi msimu huu. Klabu ya Simba mpaka sasa wamecheza jumla ya michezo 13 ya NBC Premier League , katika michezo hiyo Meddie Kagere amefunga…

Read More

MABINGWA WATETEZI WAREJEA DAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba leo Januari 27,2022 wamerejea salama Dar es Salaam. Timu ya Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco raia wa Hispani ilikuwa Kagera ambapo ilikuwa na mchezo wa ligi uliochezwa jana Januari 26. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Kaitaba ulisoma Kagera Sugar 1-0 Simba na…

Read More

WATATU WASHINDA TIKETI ZA AFCON NA CRDB

MKURUGENZI wa Wateja wadogo na wa kati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa (wa pili kushoto) leo Januari 27,2022 amekabidhi mfano wa tiketi ya kushuhudia mechi ya fainali ya Mashindano ya AFCON nchini Cameroon kwa washindi watatu. Hao ni wa washindi wa droo ya shinda na TemboCard Viza, ikiwa ni pamoja na Njama Ayoub Matumbo,Mwizegwa…

Read More