
MORRISON,ONYANGO MIKATABA YAO YAWEKWA KANDO SIMBA
MAMBO ni magumu kwa sasa ndani ya Simba kutokana na mwendo wa kusuasua hasa kwenye matokeo waliyopata kwenye mechi tatu mfululizo ugenini jambo lililofanya mikataba ya mastaa wengi kuwekwa kando. Habari kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya Simba zimeeleza kuwa kwa sasa hakuna mchezaji hata mmoja ambaye ameitwa kufanya mazungumzo kuhusu kuongeza mikataba yao ili waweze kuhudumu ndani ya kikosihicho. Miongoni mwa mastaa ambao mikataba yao inatarajiwa…