
MITAMBO YA PENALTI SIMBA HII HAPA
SIMBA imekamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2022/23 huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 31. Kweye mabao hayo ni mawili yamefungwa kutokana na penalti ilikuwa dhidi ya Geita Gold ambapo mtupiaji alikuwa ni Clatous Chama. Aliyesababisha penalti hiyo ni Augustino Okra kisha penalti ya pili ilikuwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga walipocheza na Coastal…