>

NAPOLI WAICHAPA LIVERPOOL 4G

USIKU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umewapa furaha Napoli wakiwa Uwanja wa Diego Armando Maradona kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Liverpool.  Ni mchezo wa kwanza kwa  Kundi A ambapo Liverpool hawajaamini ambacho wamekiona licha ya kupewa nafasi kubwa ya kuweza kupata ushindi kwenye mchezo huo. Mabao ya Napoli inayoongoza kundi ikiwa na pointi…

Read More

MTIBWA SUGAR WANABALAA HAO WAICHAPA IHEFU

MTIBWA Sugar imebakiza pointi zote tatu Uwanja wa Manungu kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ihefu FC licha ya kutanguliwa kufungwa kwenye mchezo huo. Ilikuwa ni Uwanja wa Manungu ambapo nyota wa Ihefu Andrew Simchimba alipachika ao la kuongoza kwenye mchezo huo dakika ya 8,  Septema 7,2022   Mtibwa Sugar mabao yao yamefungwa na…

Read More

JUMA MGUNDA ATANGAZWA KUWA KOCHA SIMBA

MZAWA Juma Mgunda ametangazwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Klabu ya Simba atashirikiana na Selemani Matola kama kocha msaidizi. Mgunda ataongozana na kikosi cha Simba nchini Malawi kwa ajili ya mchezo wa hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets. Taarifa iliyotolewa na Simba kupitia Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara…

Read More

SIMBA WATOSHANA NGUVU NA KMC

MOSES Phiri alitumia dakika mbili kufunga bao la kuongoza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Dakika 90 zilikamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 2-2 KMC na kuwafanya wagawane pointi  mojamoja. Kwa KMC, kipindi cha kwanza walikamilisha dakika 45 bila kufunga bao jambo lililowafanya warudi kivingine…

Read More

TUCHEL AFUTWA KAZI CHELSEA

Thomas Tuchel amefukuzwa kazi ndani ya kikosi cha Chelsea na mmiliki wa timu hiyo ikiwa ni miezi mitatu imepita baada ya kuchukua umiliki wa timu hiyo. Ni muda mfupi baada ya timu hiyo kupoteza kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Dinamo Zagreb, ikiwa ni mechi 100 kaweza kukaa kwenye benchi akiwa ndani…

Read More

KMC YAIPIGA MKWARA SIMBA

UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa watacheza pira spana, pira kodi dhidi ya Simba kwenye mchezo ujao wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Leo Septemba 7, KMC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery itamenyana na Simba inayonolewa na Seleman Matola ambaye ameachiwa mikoa ya Zoran Maki.  Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa…

Read More

RATIBA LIGI UUU BARA LEO

 LEO Septemba 7 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo timu zitakuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Seleman Matola atakiongoza kikosi hicho ambacho kwenye mchezo wa leo baada ya Zoran Maki kufikia makubaliano ya kuvunja…

Read More

ISHU YA KISINDA NA ONYANGO KUJADILIWA TFF

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji inatarajiwa kukutana Ijumaa kujadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na suala la Tusisila Kisinda winga ambaye amesajiliwa Yanga. Ikumbukwe kwamba Kisinda amesajili Yanga akitokea Klabu ya RS Berkane lakini usajili wake umekwama kukamilika kutokana na usajili wake kuchelewa kwa mujibu wa kanuni ya 62, (1) ya ligi kuu…

Read More

YANGA WATOSHANA NGUVU NA AZAM FC

AZAM FC licha ya kutangulia kuanza kufunga mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa walikwama kusepa na pointi tatu jumlajumla. Ikiwa chini ya Kali Ongala, ambaye ni kocha wa washambuliaji walianza kupachika bao la kuongoza kupitia kwa Daniel Amoah dakika ya 25 kisha Yanga wakafunga bao la kusawazisha kupitia…

Read More

MERIDIANBET WAINGIA LIGI KUU, WAMWAGA PESA KWA KMC!

Wiki imeanza vyema zaidi kwa Klabu ya soka ya KMC, ambao wamepata mdhamini mpya, ikiwa ni neema kwa klabu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania. KMC wameingia rasmi mkataba wa udhamini na klabu ya Meridianbet, ambao ni mabingwa na Kampuni ya kwanza ya ubashiri Tanzania. KMC imekuwa ni klabu inayokua kwa kasi tangu kuanzishwa…

Read More