
NABI AFICHUA SABABU YA KUTOFUNGWA DK 3,600
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amefichua kuwa kutopoteza kwenye mechi za ligi kwa muda mrefu kunatokana na jitihada za wachezaji kusaka ushindi. Ni mechi 40 za ligi Nabi kaongoza bila kuonja ladha ya kupoteza mchezo ikiwa ni dakika 3,600 zimeyeyuka. Aprili 25,2021 ilikuwa ni mara ya mwisho Yanga kufungwa ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0…