DABI YAO YA KWANZA MASTAA HAWA WA SIMBA

AGOSTI 13 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga v Simba kuna nyota ambao itakuwa ni dabi yao ya kwanza. Chini ya Zoran Maki wachezaji hao ni pamoja na Moses Phiri aliibuka Simba akitokea Zanaco. Pia yupo Nassoro Kapama mzawa kutoka ndani ya Kagera Sugar. Habib Kyombo mzawa kutoka…

Read More

MASTAA HAWA YANGA NI DABI YAO YA KWANZA

AGOSTI 13 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga v Simba. Ni saa 1:00 usiku mchezo huo unatarajiwa huku kila timu ikiwea wazi kwamba inahitaji kupata ushindi. Kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kuna mastaa wapya ambao itakuwa ni mara yao ya kwanza kucheza mchezo wa Kariakoo…

Read More

MZUNGU WA SIMBA USAJILI WAKE WAWAPA JEURI YA KUTWAA MATAJI

BAADA ya uongozi wa Simba kukamilisha usajili wa straika Mserbia, Dejan Georgijevic, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo, Ismail Rage, amefunguka kuwa, msimu huu wanakwenda kurudisha mataji yote waliyopoteza msimu uliopita. Simba imeendelea kujiimarisha kwenye eneo lake la ushambuliaji ambapo msimu huu wamekamilisha usajili wa viungo washambuliaji Nelson Okwa, Moses Phiri, Augustine Okrah na straika…

Read More

REAL MADRID WATWAA UEFA SUPER CUP

REAL Madrid wamebeba taji la UEFA Super Cup kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya EIntracht Frankfurt katika mchezo wa fainali uliokuwa na ushindani mkubwa.  Ni mabao ya David Alaba dk 37 na Karim Benzema dk ya 65 yaliweza kuipa taji timu hiyo katika fainali iliyochezwa Uwanja wa Helnsiki usiku wa kuamkia Agosti 11. Licha…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI KIPYA CHA KMC,MASTAA WAPYA 14

KIKOSI cha KMC FC kinachoshiriki Ligi Kuu Bara, msimu ujao kitakuwa na jeshi la wachezaji 27 kati yao nyota 14 ni wapya. KMC msimu uliopita ilimaliza ligi ikiwa nafasi ya 10 na pointi 35 baada ya kucheza mechi 30 huku Kocha Mkuu, Hitimana Thiery akibaki na nyota 13 aliokuwa nao msimu uliopita wa 2021/22. Ofisa…

Read More

KUMUONA AZIZ KI,MORRISON,OKWA BUKU TANO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa viingilio vimewekwa wazi leo Agosti 10,2022. Mastaa ambao wanatarajia kuweza kucheza mchezo huo ni pamoja na Aziz KI,Bernard Morrison kutoka Yanga,Nelson Okwa, Victor Ackpan wa Simba. Ni 5,000 kwa mzunguko kwenye viti vya kijani na bluu,kwa upande wa…

Read More

RAIS FIFA ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA KILA HATUA

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Dunia FIFA, Gianni Infantino amesema kuwa kukuza mpira wa Afrika kunahitaji ushirikiano mkubwa na kila mmoja ili kuweza kufikia mafanikio. Inafantino aliwasili Tanzania Agosti 9 alipokelwa na mwenyeji wake ambaye ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) Wallace Karia pamoja na viongozi wa TFF ameweka wazi kuwa…

Read More

SITA WACHAGULIWA KAMATI YA MASHINDANO YANGA

 RAIS wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ameteua Wajumbe wa Kamati ya Mashindano Yanga Injinia ameweza kuteua kamati hiyo kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji ili kuweza kuunda kamati hiyo maalumu.  Ni wajumbe 6 wametangazwa leo Agosti 10.2022 kuweza kuwa katika kamati hiyo kutimiza majukumu yao. Ni pamoja na Mustapha Himba,Lucas Mashauri,Seif Ahmed,(Magari),Pelegrius Rutayunga,Davis…

Read More

MSHAMBULIAJI WA KAZI ATAJWA KUINGIA RADA ZA YANGA

KUTOKANA na taarifa kueleza kuwa nyota wao Dario Federico yupo kwenye hesabu za kuondoka ndani ya Singida Big Stars timu hiyo imebainisha kuwa nyota huyo bado yupo ndani ya kikosi hicho. Habari zimeeleza kuwa mshambuliaji huyo ambaye amekuwa kwenye mwendo mzuri wa kufanya vizuri katika mechi za hivi karibuni yupo kwenye hesabu za Yanga. Yanga…

Read More

ARSENAL YAMSAKA WINGA KWA PAUNDI 40

 KLABU ya Arsenal imetuma ofa ya Paundi milioni 40 kwa Villarreal ya nchini Hispania kwa ajili ya kuinasa saini ya winga wa klabu hiyo Yeremy Pino. Mchezaji huyo ambaye pesa yake ya kuvunja mkataba ni paundi milioni 80, pia ameripotiwa kuwa kwenye rada za Liverpool ambao nao wanatarajiwa kutuma ofa ya kumnasa winga huyo. Arsenal…

Read More

SIMBA KUMENYANA NA BIG BULLETS

WASHINDI namba mbili wa Tanzania kwenye Ligi Kuu Bara, Simba wataanza ugenini kumenyana na Big Bullets ya Malawi. Hiyo itakuwa ni kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayotarajiwa kuchezwa kati ya Septemba 9-11. Mshindi wa mchezo huo anaweza kukutana na mshindi wa mchezo kati ya Red Arrows ama De Agosto ya Angola….

Read More

YANGA KIMATAIFA KUANZA NA ZALAN FC

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika watamenyana na Zalan FC. Droo hiyo imepangwa leo Agosti 9 makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika, (CAF) nchini Misri. Mechi hizo zinatarajiwa kuchezwa kati ya Septemba 9-11 ambapo Yanga itaanzia ugenini. Mshindi wa mchezo huo ana kibarua cha kusaka ushindi kwa mshindi…

Read More

CAF KUFANYA MKUTANO WAKE ARUSHA

KESHO Agosti 10,2022 mkutano mkuu wa CAF unatarajiwa kufanyika Arusha,mahali ambapo upo mlima Kilimanjaro ambao ni namba moja kwa urefu Afrika. Mkutano huo ni wa 44 unatarajiwa kufanyika mapema asubuhi ya kesho hapo Arusha. Wiki hii Arusha itajumuisha nchi 51 ambazo zitashiriki mkutano huo wa 44 ambao ni mkubwa na utahudhuriwa na viongozi mbalimbali. Taarifa…

Read More