
SIMBA YASHINDA 3-0 GEITA GOLD
ZORAN Maki,Kocha Mkuu wa Simba amesema ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold walistahili kwa kuwa wachezaji walicheza kwa kujituma. Mabao ya Simba kwenye mchezo wa leo Agosti 17 yamefungwa na Agustino Okra,Moses Phiri na Clatous Chama ambaye amefunga kwa mkwaju wa penalti. Ushindi huo unaifanya iweze kufikisha pointi tatu na kuongoza ligi ikiwa…