
YANGA YAAMBULIA KICHAPO MBELE YA VIPERS SC
DAKIKA 90 zimekamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 0-2 Vipers SC kwenye mchezo wa kirafiki. Mchezo wa leo ulikuwa maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji pamoja na uzi mpya wa Yanga utakaotumika msimu wa 2022/23. Ni kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi leo Agosti 6,2022 ambapo mashabiki na wanachama wa Yanga…