>

RONALDO KUTUA NAPOLI

 NYOTA Cristiano Ronaldo anaweza kutua ndani ya Klabu ya Napoli kabla ya usajili kufungwa kesho Septemba Mosi. Wakala maarufu duniani, Jorge Mendes anapambana kuhakikisha staa huyo anayetaka kuondoka Manchester United anapata changamoto mpya. Taarifa zimeeleza kuwa dili lake la kujiunga na Napoli litahusisha kubadilisha baadhi ya wachezaji. Cr 7 mwenye Ballon d’Or tano aliwaambia viongozi…

Read More

MERIDIANBET WAWATEMBELEA SOBER HOUSE KIGAMBONI

Meridianbet kama ilivyo desturi na utamaduni wao wamekuwa wakijitahidi kushirikiana na jamii na kusaidia makundi yenye uhitaji na yanayokumbwa na changamoto mbalimbali. Jana Meridianbet waliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya wanaopambana kuachana na matumizi ya madawa hayo chini ya taasisi ya Pillimissana Foundation huko Kigamboni. Taasisi hiyo imeanzishwa takribani miaka kumi iliyopita, ikijishughulisha na watu…

Read More

YANGA KUIKABILI AZAM KWA MBINU TOFAUTI

CEDRICK Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa atabadili mbinu kuelekea mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC. Kocha huyo amekiongoza kikosi hicho kwenye mechi mbili na kushinda zote ugenini. IlikuwaPolisi Tanzania 1-2 Yanga na Coastal Union 0-2 Yanga zote zilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mchezo ujao utakuwa ni wa kwanza kwa Nabi kuingoza…

Read More

WAMEANZA MSIMU KWA MAJANGA MASTAA HAWA

TAYARI mbio za kusaka ushindi kwenye Ligi Kuu Bara zinaendelea huku wachezaji wengine wakianza kwa majanga ya hapa na pale hali inayowafanya wasiwepo kwenye mechi za ushindani. Wapo wengine ambao walianza msimu lakini majukumu waliyopewa kwao yaliwapa matokeo tofauti na kile ambacho wengi walikuwa wanatarajia. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa ambao wameanza msimu kwa majanga…

Read More

WACHEZAJI STARS KAZI IPO KWENU KUJITUMA KUTAFUTA MATOKEO

IMESHATOKEA kwenye mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wachezaji wa ndani, (CHAN) kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kupoteza. Hamna namna ilikuwa lazima iwe hivyo kwa sababu mpira ni mchezo wa makosa na pale ambapo wachezaji walikosea wapinzani wakatumia nafasi hiyo kuweza kutuadhabi. Matokeo huwezi kubadili…

Read More

KIUNGO WA KAZI SIMBA AINGIA KWENYE VITA

SADIO Kanoute raia wa Mali, kiungo wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba ameingia kwenye vita nyingine na mastaa wengine wawili wa kikosi cha timu hiyo kuwania tuzo. Ni tuzo ya mchezaji bora chaguo la mashabiki ndani ya Simba inayopatikana kutokana na mashabiki wa timu hiyo ambayo imeweka kambi nchini Sudan kupiga kura. Kanoute…

Read More

SINGIDA BIG STARS HAO RWANDA

UONGOZI wa Singida Big Stars umeweka wazi kuwa umepewa mualiko na Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kirafiki ikiwa ni maandalizi ya mechi zao za ligi kwa msimu wa 2022/23. Septemba 2,2022 kikosi cha Singida United kinatarajiwa kuelekea nchini Rwanda ambapo wamealikwa kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Rayon Sports….

Read More

SIMBA KAZINI TENA LEO KIMATAIFA

KIKOSI cha Simba leo kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Al Hilal ukiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki wakiwa nchini Sudan. Utakuwa ni mchezo wa pili leo baada ya ule wa awali kuweza kushinda mabao 4-2 Asante Kotoko. Seleman Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa mchezo wa leo ni muhimu…

Read More

KOCHA WA MABINGWA WA LIGI YA MABINGWA ULAYA AONYA

 BOSI wa mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya amewaonya mastaa wake kwa kuwaambia kwamba wanapaswa kuongeza umakini. Carlo Ancelotti amewaambia wachezaji wake kwamba wanapaswa kuongeza umakini kutokana na mazingira ambayo wapo kiushindani. Timu hiyo imepangwa Kunid F na timu za RB Leipzig, Shakhar Donetsk na Celtic. Kocha huyo anakumbuka kwamba msimu uliopita timu hiyo…

Read More

DAKIKA 90 ZA KIUNGO WA SIMBA QUEENS MARIAN

WAKATI Simba Queens wakitwaa Ubingwa wa Ligi ya Wanawake CAF kwa ukanda wa CECAFA na kukata tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake, kati kuna kiungo wa kazi chafu anaitwa Mariam Nasri. Tupo naye kwenye mwendo wa data nyota huyu wa Simba Queens dakika zake 90 mbele ya She Coprote katika…

Read More

KOCHA WA SIMBA ZORAN MAKI KUWAKOSA MASTAA 10

IKIWA nchini Sudan kwa ajili ya mashindano maalumu waliyoalikwa na Al Hilal, mastaa 10 wa Simba wanatarajia kukosekana kwenye mechi hizo. Tyari Maki ameongoza kikosi cha Simba kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya Asante Kotoko ambapo walishinda mabao 4-2 kesho Agosti 31 ni mchezo mwingine dhidi ya Al Hilal ambao ni wenyeji. Ni nyota 9…

Read More