>

VIDEO:MASHINE NYINGINE ZA SIMBA KUIBUKIA MISRI

UPNGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kufanya mazoezi kwa muda wa siku mbili wachezaji wengine ambao hawakujiunga na timu hiyo kambini nchini Misri wanatarajiwa kujiunga na timu hiyo. Wachezaji hao ni pamoja na Nassoro Kapama,Moses Phiri,Taddeo Lwanga na Peter Banda kwa mujibu wa Ahmed Ally,Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba.

Read More

MKAZI WA MANYARA AMESHINDA SH:106,809,410 ZA M BET

MKAZI wa Mkoa wa Manyara, Maraba Masheku, ameshinda Sh.106, 809, 410 baada ya kutabiri kwa usahihi mechi 12 za ligi mbalimbali za soka duniani kupitia droo ya M-Bet Tanzania ya Perfect 12. Masheku ambaye ni shabiki wa Simba Sports Club na Chelsea amesema haikuwa kazi rahisi kwake kushinda kiasi hicho cha fedha kutokana na ugumu…

Read More

MAKOCHA WATATU KUINOA SIMBA

SIMBA itakuwa na makocha wawili wasaidizi kwa msimu wa 2022/23 baada ya mmoja kuongezwa rasmi na atakuwa na majukumu mawili kwa wakati mmoja kwenye kikosi hicho. Tayari Kocha Mkuu ameshatangazwa ambaye ni Zoran Maki yupo na kikosi nchini Misri kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao ambapo alianza kazi na kocha mzawa msaidizi Seleman Matola….

Read More

SIMBA KUCHEZA MECHI TATU ZA KIRAFIKI MISRI

WAKIWA kwenye maandalizi ya msimu wa 2022/23 washindi namba mbili kwenye Ligi Kuu Bara,Simba wameweka wazi kuwa wanatarajiwa kucheza mechi tatu za kirafiki. Kwenye msimamo Simba ilimaliza ikiwa nafasi ya pili na pointi 61 baada ya kucheza mechi 30 za ligi. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema…

Read More

TAIFA STARS WAANZA MAZOEZI

WACHEZAJI  wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameanza maandalizi kwa ajili ya michezo ya kufuzu CHAN 2023. Stars inayonolewa na Kocha Mkuu,Kim Poulsen inatarajiwa kucheza mechi mbili ndani ya mwezi huu wa Julai kuwania kufuzu CHAN. Itakuwa mchezo dhidi ya Somalia ambapo ule wa awali unatarajiwa kuchezwa Julai 23 na ule wa pili unatarajiwa…

Read More

NBC DODOMA INTERNATIONAL MARATHON JUMAPILI JULAI 31

IKIWA ni takribani wiki tatu zimesalia kuelekea NBC Dodoma International Marathon itakayofanyika siku ya Jumapili Julai 31, wanariadha wameendelea kujifua ili kushiriki mbio hizo za kimataifa. Leo tumeshuhudia klabu za wanariadha ya Kigamboni runners ikishirikiana na klabu ya wanariadha ya NBC Jogging club ambao wamefanya mazoezi ya pamoja kwa kukimbia kilomita 10 na kilomita 5…

Read More

COASTAL UNION WAMALIZANA NA KIPA

COASTAL Union wameanza na kuongeza nguvu kwenye ulinzi baada ya Julai 14,2022 kukamilisha usajili wa mlinda mlango namba mbili wa timu ya Taifa ya Comoro, Mahamoud Mroivili. Unakuwa ni usajili wa kwanza ndani ya Coastal Union inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda. Kipa huyo amepewa dili la miaka miwili kuweza kuitumikia timu hiyo kwa ajili…

Read More

KIUNGO YANGA AINGIA ANGA ZA SINGIDA BIG STARS

BAADA ya mabosi wa Yanga kumpa mkono wa kwa kheri nyota wao Deus Kaseke Julai 14 inaelezwa kuwa nyota huyo yupo kwenye mazungumzo na Singida Big Stars ili aweze kuwa ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao wa 2022/23.  Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga iliweka wazi kwamba; “Umekuwa sehemu kubwa ya mchango wa mafanikio kwenye…

Read More

SIMBA WAMEANZA MAZOEZI MISRI

WASHINDI wa pili ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba tayari wameanza mazoezi nchini Misri ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23. Simba chini ya Kocha Mkuu, Zoran Maki ilifanikiwa kuwasili nchini Misri salama baada ya kusepa Bongo Julai 14,2022 mchana. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani…

Read More

USAJILI UNAZINGATIA RIPOTI YA BENCHI LA UFUNDI?

WAKATI timu mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara zikiwa zinafanya usajili wa wachezaji wao mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao kuna mambo ngoja tuwakumbushe. Kwanza kabisa ni kuhusu usajili ambao unaedelea kwa sasa lakini pia ni katika maandalizi yao mzuri kuelekea katika michuano ya kimataifa. Kwa msimu ujao Yanga,Simba,Azam FC na Geita Gold…

Read More

BM:MASHABIKI MSIWE NA MASHAKA MSIMU UTAKUWA MZURI

KIUNGO mpya wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa mashabiki wasiwe na mashaka msimu mpya utakuwa ni mzuri kwao na watapambana kufanya vizuri. BM amerejea ndani ya Yanga kwa kupewa dili la miaka miwili baada ya dili lake ndani ya Simba kugota ukingoni. Nyota huyo amewaambia mashabiki wa Yanga kuwa aliwakosea wakati ule alipokuwa ndani ya…

Read More