
JUVENTUS YAKUBALI KUMUUZA BEKI WAO
KLABU ya Juventus ya Italia imekubali kumuuza beki wake wa kati, Matthijs de Ligt (22) kwenda kwa mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich kwa ada ya Paundi Milioni 68 (Tsh. 186,320,000,000) Taarifa kutoka Ujerumani zinaeleza kuwa beki huyo wa kimataifa wa Uholanzi atasaini mkataba wa miaka mitano na Bayern mara baada ya kukamilisha vipimo vya afya…