RASMI:KOCHA MPYA SIMBA NI MSERBIA

RASMI leo Juni 28,2022 Klabu ya Simba imemtangaza,Zoran Manojlovic kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akichukua mikoba ya Pablo Franco ambaye alichimbishwa Mei 31,2022. Kocha huyo raia wa Serbia aliwahi kufundisha ndani ya kikosi cha Al Hilal ya Sudan hivyo ana uzoefu na soka la Afrika. Ana umri wa miaka 59 hivyo anakuja Tanzania kuendeleza…

Read More

KOCHA HUYU ATAJWA KUINGIA ANGA ZA SIMBA

AMES Kwasi raia wa Ghana na nyota wa zamani wa Asante Kotoko anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Simba kurithi mikoba ya Pablo Franco. Kwasi yeye zama za uchezaji wake alikuwa anacheza nafasi ya ulinzi ambapo alikuwa ni beki wa kushoto. Taarifa zinaeleza kwamba Simba wapo kwenye mazungumzo na kocha huyo raia wa Ghana…

Read More

HIZI HAPA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI KIMATAIFA BONGO

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema kuwa ni timu nne ambazo zitaiwakilisha Tanzania katika anga la kimataifa.  Ni katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo ni nafasi nne zipo kwa timu za Tanzania. Kasongo amesema Yanga na Simba tayari wameshapatikana kuwakilisha michuano ya Ligi ya…

Read More

NAMNA LIVERPOOL WANAMVYOMKUMBUKA MANE

STORI ya kusisimua mchana wa Agosti 14, 2016, ugenini Emirates dhidi ya Arsenal, Liverpool tunaongoza 3-1 mbele ya wenyeji. Philippe Coutinho akiwa amefunga mabao mawili, Adam Lallana moja. Ndani ya uwanja jezi namba 19 ya Liverpool imevaliwa na mchezaji mpya kikosini, Sadio Mane. Mechi ya kwanza ya msimu, mechi ya kwanza kwa Sadio ndani ya…

Read More

WINGA WA CHELSEA ZIYECH KUUZWA

MABOSI wa Chelsea, wamekubaliana kumuuza winga wa timu hiyo, Hakim Ziyech ambaye alitua kikosini hapo mwaka 2020 kwa pauni 33.3m. Winga huyo alifanya vizuri wakati akiwa Ajax ambako alidumu kwa misimu minne, akifunga mabao 49 akicheza mechi 165, huku akishinda taji la Ligi ya Uholanzi chini ya Kocha Erik ten Hag. Kocha Thomas Tuchel na…

Read More

GABRIEL JESUS KUIBUKIA ARSENAL

KAMA mambo yakienda sawa, basi wiki ijayo, Arsenal itamtabulisha Gabriel Jesus ambaye wamemnasa kwa pauni 50m akitokea Manchester City.  Arsenal kumpata straika huyo ni baada ya kuzipiku Tottenham na Chelsea ambazo nazo zilionekana kumuhitaji.  Inatajwa kwamba, tayari Arsenal imekamilisha dili hilo na vimesalia vitu vichache tu kumaliza kila kitu na wakati wowote atafanyiwa vipimo vya…

Read More

STAA HUYU KUTOKA LEEDS UNITED MALI YA MAN CITY

KLABU ya Manchester City, imefanikiwa kukamilisha dili la kumsajili kiungo wa Leeds United, Kalvin Phillips kwa pauni 45m.  Kiungo huyo mwenye miaka 26, katika hela yake hiyo ya usajili, pauni 42m ndiyo fedha iliyolipwa, huku pauni 3m itakuwa kwa ajili ya bonasi. Mabingwa hao wa Premier League, wamemsajili Phillips kama mbadala wa Fernandinho ambaye alidumu…

Read More

MO SALAH KUUZWA LIVERPOOL

IMERIPOTIWA  kuwa, Klabu ya Liverpool ipo tayari kumuachia, Mohamed Salah kama wakipata ofa nzuri kuanzia pauni 60m.  Salah amesaliwa na mwaka mmoja katika mkataba wake ndani ya Liverpool, huku kwa muda mrefu wakivutana kwenye ishu ya mkataba mpya.  Baada ya Sadio Mane kuondoka Liverpool hivi karibuni na kutua Bayern Munich, huenda pia wakampoteza na Salah….

Read More

KIPA SIMBA AONGEZA MIAKA MIWILI

KIPA namba moja wa kikosi cha Simba ambacho kwa sasa kipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola Aishi Manula ameongezewa mkataba wake wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Nyota huyo mkataba wake ulikuwa unakaribia kufikia ukingoni na kuna timu ambazo zilikuwa zimeanza mazungumzo naye kwa ajili ya kuinsa saini yake. Manula ambaye ni chaguo la kwanza…

Read More