
VIDEO:CHEKI MAZOEZI YA STARS KUIKABILI ALGERIA
WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Juni 7 wamefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuikabili Algeria kesho, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.
WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Juni 7 wamefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuikabili Algeria kesho, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku.
KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania wapo tayari kuelekea mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu AFCON. Mchezo huo utakuwa ni dhidi ya Algeria utakaochezwa kesho Juni 8, 2022 saa 1:00 usiku huku akiweka wazi kwamba wanatambua mchezo huo utakuwa mgumu. Poulsen…
LEO Juni 7,2022,Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wasichana U17 Serengeti Girls wameweza kuingia kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Serengeti Girls wamealikwa bungeni baada ya kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia litakalofanyika India mwaka huu kwa ushindi wa jumla ya mabao 5-1 Cameroon. Kete ya kwanza walianza ugenini ambapo waliweza kushinda…
MKURUGENZI Mtendaji wa Kilinet Mohammed Saleh amesema ndani ya miezi 6 wameweza kusajili wanachama 34,650. Huu ulikuwa ni mchakato wa Klabu ya Yanga kuweza kufanya usajili kwa wanachama baada ya kubadili katiba na mfumo wa uendeshaji wa timu. Akizungumza leo Juni 7, Saleh amesema kuwa wameweza kukusanya fedha hizo ikiwa ni mafanikio makubwa ndani ya miezi…
KIUNGO wa Real Madrid, Luka Modric ameweka wazi kuwa ndoto zake zilitimia baada ya kusajiliwa ndani ya kikosi hicho. Madrid ilimsajili Modric 2012 akitokea Klabu ya Tottenham na yupo Madrid kwa miaka 10 sasa. Kiungo huyo mwenye miaka 36 amezidi kuwa bora licha ya umri ambao anao kwa sasa ambao unaonekana kumtupa mkono na mwaka…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa msimu ujao utafanya vizuri kwa kutumia makosa ambayo wameyafanya msimu huu. Ikiwa imecheza mechi 26 kwenye msimamo ipo nafasi ya 4 na imekusanya pointi 37 kibindoni huku kinara akiwa ni Yanga mwenye pointi 64. Zakaria Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kwa namna ambavyo wanakwenda…
MCHAMBUZI wa masuala ya mpira Bongo na mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ally Mayay amesema kuwa waarabu ni wajanja huku akiwachambua washambuliaji wenye mabao 14 ndani ya ligi George Mpole mzawa wa Geita Gold na Fiston Mayele wa Yanga.
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa msimu ujao watakuja kwa sura mpya kwenye mashindano ambayo watashiriki pamoja na ligi kwa kufanya usajili makini. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 64 baada ya kucheza mechi 26. Manara amesema kuwa wanatambua ushindani utakuwa mkubwa hivyo nao watakuja…
BAADA ya mabosi wa Simba kukamilisha mazungumzo na Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Erradi Adil raia wa Morocco, imebainika kuwa, mshahara wake ni mkubwa kuzidi wa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pablo Franco raia wa Hispania. Inaelezwa kwamba, Erradi ndani ya APR, analipwa mshahara wa Euro 20,000 ambayo ni sawa shilingi milioni 50 za…
SPOTI Xtra Jumanne Juni 7,2022 linamzungumzia Straika mpya Yanga ambaye amemtaja Chama