Home Sports VIDEO:ALLY MAYAY,WAARABU NI WAJANJA AWACHAMBUA MPOLE NA MAYELE

VIDEO:ALLY MAYAY,WAARABU NI WAJANJA AWACHAMBUA MPOLE NA MAYELE

MCHAMBUZI wa masuala ya mpira Bongo na mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ally Mayay amesema kuwa waarabu ni wajanja huku akiwachambua washambuliaji wenye mabao 14 ndani ya ligi George Mpole mzawa wa Geita Gold na Fiston Mayele wa Yanga.

Previous articleMPANGO WA YANGA NI KUJA KIVINGINE MSIMU UJAO
Next articleAZAM FC WAJA NA MIPANGO MIPYA