THIAGO AAMBIWA KWAMBA HAMNA KITU

GWIJI wa Liverpool, Dietmar Hamann amemshukia kiungo Thiago Alcantra akiweka wazi kuwa ni moja ya wachezaji wa Ulaya wanaopewa sifa kubwa tofauti na uwezo wake. Mjerumani huyo amesema Thiago ni bure kabisa timu napokuwa haina mpira licha ya kwamba amesifiwa alikuwa ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha Jurgen Klopp. Nyota huyo ni miongoni mwa wale…

Read More

MAKOCHA WAIGOMBEA SIMBA, CV ZA KUTOSHA ZATUMWA MSIMBAZI

MARA baada ya Simba SC kutangaza kuachana na kocha, Pablo Franco Martin, tayari baadhi ya makocha wameanza kuomba nafasi ya kufanya kazi ndani ya timu hiyo. Taarifa ambazo Spoti Xtra limezipata ni kwamba, kocha wa kwanza kutuma wasifu wake akiomba mikoba ya Pablo kikosini hapo ni Brandon Truter raia wa Afrika Kusini. Juzi Jumanne, Simba…

Read More

HOROYA AC, RAJA CASABLANCA ZAMGOMBEA PABLO

HOROYA AC ya Guinea, imeweka ofa nzuri kumpata aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania ambaye alisitishiwa mkataba wake hivi karibuni. Mara baada ya Simba kutangaza kumsitishia mkataba kocha huyo, tetesi nyingi zilizagaa za kuhitajika na baadhi ya klabu kubwa Afrika ikiwemo Amazulu FC ya Afrika Kusini. Wakala wa kocha huyo, Edgar…

Read More

JUMA MGUNDA NA KASI YAKE MEI NI MOTO

KASI ya Coastal Union ndani ya Mei inafurahisha kwa kuwa kwenye mechi 5 ambazo wamecheza hawajapoteza mchezo wakishinda nne na kuambulia sare moja ugenini. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa watu wasijisahaulishe wanapaswa kuiombea timu hiyo ili iendelee kufanya vizuri. “Tupo nafasi ya 6 wazidi kutuombea ili kwenye mechi zijazo tupate matokeo…

Read More

POLISI TANZANIA KUWEKA KAMBI DAR

KUTOKANA na kuwa na malengo ya kuhitaji kumaliza ndani ya nne bora, mabosi wa Polisi Tanzania wanafikiria kuweka kambi Dar ili kuweza kufanya maandalizi kwa mechi zilizobaki.  Ofisa Habari wa Polisi Tanzania, Hassan Juma amesema kuwa watapambana kuwashusha waliopo juu yao kwa kutoka chini hivyo watafanya kazi kubwa kwenye mechi zilizobaki. “Baada ya mchezo wetu…

Read More

ORODHA YA MASTAA 14 WATAKAOPIGWA PANGA YANGA

MASTAA 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2022/23. Msemaji wa Yanga, Haji Manara, alisema kuwa usajili wa msimu ujao utakuwa ni mkubwa na wenye kuzingatia ripoti ya benchi la ufundi. “Tuna malengo makubwa na tunajua wapi ambapo tulishindwa msimu huu…

Read More

STARS YAWASILI BENINI,YABEBA MATUMAINI

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana jioni Alhamisi ya Juni 2 kilikwea pipa kuelekea nchini Benini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Niger unaotarajiwa kuchezwa kesho Juni 4. Leo Juni 3 tayari kimewasili salama Benin ambapo mchezo huo utachezwa. Benchi la ufundi…

Read More

SIMBA NA YANGA ZASHINDANA KUCHANGA MKWANJA

WATANI wa jadi Yanga na Simba kupitia Azam TV wamefungua kampeni ya NANI ZAIDI ambayo itakuwa inawahusisha mashababiki wa timu hizo mbili ambao watakuwa wanashindana kuchangia pesa kwenye timu zao. Watachangia pesa hizo kupitia mitandao ya simu ikiwa ni Tigo, Airtel na Vodacom kisha baadaye mshindi atachaguliwa na kutangazwa. Mtendaji Mkuu wa Simba,(CEO), Barbra Gonzalez…

Read More