
KAZI INAANZA,KIMATAIFA, SIMBA YASHINDA BAO 1-0 ORLANDO PIRATES
Dakika 90 za kwanza zimekamilika kwa Simba kushinda bao 1-0 Orlando Pirates. Ni asilimia 55 kwa Simba umiliki huku 45 ikiwa ni kwa Orlando Pirates. Mtupiaji ni Shomari Kapombe kwa mkwaju wa penalti dk 65 na aliyesababisha penalti ni Bernard Morrison ambaye alikwama kumaliza dk 90 baada ya kuumia. Timu zote mbili hakuna ambayo imeotea…