
ISHU YA KUONGEZWA DAKIKA 100 KWENYE MECHI IPO HIVI
BAADA ya hivi karibuni taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya Fifa kuangalia uwezekano wa kuongeza dakika za mchezo wa mpira wa miguu kutoka 90 hadi 100 kabla ya mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia la nchini Qatar, FIFA imeibuka na kukanusha taarifa hizo. Taarifa kutoka fifa imesema:“Kufuatia taarifa za uzushi zilizosambaa leo,…