MANUNGU MILANGO MIGUMU,MTIBWA SUGAR O-0 SIMBA
UWANJA wa Manungu milango ni migumu kwa timu zote mbili hakuna ambaye ameona lango. Wanagawana pointi mojamoja katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliokuwa na ushindani mkubwa. Aishi Manula na Shaban Kado hawa wote wameibuka na ushujaa kwa kuwa hakuna ambaye ameokota mpira wavuni. Simba ina kibarua kizito sasa kwa Kagera Sugar mchezo unaofuatwa na…