
PABLO AZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MTIBWA
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa kwa namna yoyote ile wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Manungu. Mtibwa Sugar wameamua mchezo huo uchezwe katika Uwanja wa Manungu wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 25,000 na tayari tiketi zimeanza kuuzwa na kiingilio ni 10,000. Kwenye…