MKWAKWANI,DAKIKA 45,COASTAL UNION 0-1 YANGA

UWANJA wa Mkwakwani Januari 16 mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Coastal Union na Yanga ni mapumziko. Yanga inakwenda vyumbani ikiwa inaongoza kwa bao 1-0 katika dakika 45 za mwanzo. Ni bao la Fiston Mayele anamtungua Mussa Mbissa dakika ya 40 akiwa ndani ya 18. Coastal Union wanacheza mpira huku Yanga wakiwa katika mbinu…

Read More

CHAMA HESABU ZAKE NI MAKOMBE

CLATOUS Chama, nyota wa Simba amesema kuwa ni furaha kwame kurejea ndani ya timu hiyo. Chama aliibuka ndani ya RS Berkane msimu wa 2021/22 akitokea Klabu ya Simba na amerejea tena nyumbani. Ni usajili wa kwanza katika dirisha dogo na anatarajiwa kuwa kwenye kikosi cha kesho kitakachomenyana na Mbeya City Uwanja wa Sokoine. Nyota huyo…

Read More

KOCHA SIMBA AIBUKIA YANGA

MILTON Nienov aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba kabla ya kuchimbishwa leo Januari 16 ametambulishwa ndani ya Yanga. Nienov anakwenda kuchukua mikoba ya Razack Siwa ambaye anainoa timu hiyo kwa sasa. Kocha huyo raia wa Brazil aliweka wazi kuwa anaipenda Tanzania kutokana na ukarimu pamoja na mazingira mazuri. Alikuwa akimnoa Aishi Manula na sasa…

Read More

BREAKING:YANGA YAMALIZANA NA KIUNGO WA KAZI

Chico Ushindi ni Mwananchi baada ya kutambulishwa rasmi leo kuwa ndani ya kikosi hicho. Kiungo huyo mshambuliaji alikuwa anakipiga ndani ya kikosi cha TP Mazembe. Ametambulishwa rasmi leo Januari 16,2022 ambapo timu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Anaungana na wachezaji wengine ambao ni Salim Aboubakhari, Aboutwalib Mshery na Dennis…

Read More

SIMBA WAMFANYIA HAYA KIUNGO CHAMA

UKISIKIA watu wanakwambia Simba wamefanya kufuru, basi amini kwamba ufanikishaji wa kuipata saini ya kiungoMzambia, Clatous Chama imetumika gharama kubwa sana. Chama ambaye amerejea Simba na kusaini mkataba wa miaka miwili, aliondoka kikosini hapo Agosti 2021, baada ya kuisaidia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara tatu mfululizo kuanzia msimu wa 2018/19 hadi 2020/21na kutua RS Berkane ya Morocco. Pia Chama alikuwepo kwenye kikosi cha Simba kilichocheza hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More

MSUVA APANDIWA DAU NA YANGA ,SIMBA

WAKATI dirisha dogo la usajili hapa nchini likifungwa usiku wa kuamkia leo Jumapili, kulikuwa na mchuano mkali kwa timu za Simba na Yanga kwa ajili ya kupata saini ya kiungo mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya Morocco, Mtanzania, Simon Msuva. Msuva aliondoka Yanga, Julai 29, 2017, akiwa ameisaidia kuvuna mataji matatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara na kutua Difaa El Jadida ya Morocco, kisha Novemba 10, 2020, akajiunga na Wydad. Habari zimeeleza kwamba,…

Read More