SIMBA YATAMBULISHA UZI MPYA MKALI

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo Januari 3 2022 wametambulisha uzi mpya. Ni uzi maalumu ambao utatumika katika Kombe la Shirikisho pamoja na Kombe la Mapinduzi ambalo linafanyika Zanzibar. Tayari kikosi kimewasili Zanzibar kwa ajili ya mashindano hayo ambayo yameanza kurindima jana Januari 2. Mchezo wao wa kwanza unatarajiwa kuwa ni Januari 5,2022…

Read More

SADIO MANE AREJEA SENEGAL

NYOTA wa kikosi cha Liverpool kinachoshiriki Ligi Kuu England, Sadio Mane na mlinda lango namba moja wa Chelsea Eduardo Mendy wamesafiri pamoja kurejea nyumbani Afrika kwa ajili ya kujiunga na timu ya taifa ya Senegal tayari kwa michuano ya AFCON. Nyota hao walicheza kwenye mchezo wa jumapili wa ligi kuu soka nchini England Chelsea walipowaalika Liverpool. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa…

Read More

MWAMBA WA LUSAKA KUREJEA SIMBA

IMEELEZWA kuwa kiungo wa mpira Clatous Chama nyota wa RS Berkane yupo njiani kurudi Simba kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco. Ni msimu uliopita wa 2020/21 Chama alikuwa ndani ya Simba na alikuwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga msimu huu wa 2021/22…

Read More

BREAKING:MRITHI WA MIKOBA YA HAJI MANARA HUYU HAPA

RASMI leo Januari 3,2022 uongozi wa Simba umemtangaza Ahmed Ally kuwa Ofisa Habari wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Pablo Franco. Ally anakuja kuchukua mikoba ya Haji Manara ambaye alibwaga manyanga mwaka 2021 na sasa ni Ofisa Habari ndani ya kikosi cha Yanga. Aliposepa Manara nafasi hiyo alikaimu Ezekiel Kamwaga ambaye kwa sasa yupo…

Read More

NYONI KUACHWA SIMBA,JEMBE JIPYA HILI KUTUA SIMBA

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wamefikia maamuzi ya kuachana na kiungo mshambuliaji wao Mmalawi, Duncan Nyoni na kumalizana na kiungo Mzambia, Samuel Sikaonga. Nyoni aliungana na Simba mwanzoni mwa msimu huu, kwa mkataba wa miaka mitatu, akitokea Silver Strikers ya Malawi, lakini ameshindwa kuonyesha kiwango bora ndani ya timu hiyo jambo linalodaiwa kuwapelekea mabosi wake kumfungashia virago. Chanzo kutoka Simba kimeeleza kwamba, baada ya uongozi wa…

Read More