YANGA YAFUNGUA MABOX KWA KUIMALIZA BIASHARA UNITED KWA MKAPA
2021 kikosi cha Yanga kimefungua maboksi ya zawadi ya Christmas kwa ushindi mbele ya Biashara United ya Mara. Dakika 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa kwa ubao kusoma Yanga 2-1 Biashara United. Biashara United walianza kupata bao la kuongoza dakika ya 2 kupitia kwa Atupele Green wakashindwa kulilinda. Bao la usawa kwa Yanga lilipachikwa kimiani na…