KOCHA AZAM FC ATAJWA KUFUTWA KAZI
UONGOZI wa klabu ya Azam FC umesitisha mkataba wa Kocha kutoka nchini Zambia George Lwandamina na Msaidizi wake kutoka Burundi Vivier Bahati, kutokana na mwenendo mbaya wa kikosi chao kwenye Mshime Mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam FC jana Jumapili (Desemba 12) ikicheza nyumbani Azam Complex Chamazi, iliambulia sare ya bila kufungana dhidi…