BOCCO AYEYUSHA DAKIKA KIBAO BILA KUFUNGA
JOHN Bocco nahodha wa Simba anakibarua kizito cha kutetea kiatu chake cha ufungaji bora huku akiwa ametumia jumla ya dakika 387 uwanjani bila kufunga wala kutoa pasi ya bao. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2020/21 Bocco alisepa na kiatu cha ufungaji bora baada ya kufunga mabao 16 na alitoa pasi mbili za mabao. Kwa sasa ndani…