SIMBA YAFUZU HATUA YA MAKUNDI, DILUNGA ATUPIA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franc leo Desemba 5 kimefanikiwa kuandika historia mpya kwenye Kombe la Shirikisho baada ya kuweza kufuzu hatua ya makundi. Kwenye mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Heroes,Zambia dakika 90 zimekamilika kwa ubao kusoma Red Arrows 2-1 Simba ambapo bao la Simba lilipachikwa na kiungo mzawa Hassan Dilunga….