>

MORRISON AWASHUKURU YANGA

BAADA ya Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo,(CAS) kutoa maamuzi kuhusu kesi ya kiungo Bernard Morrison ambaye ilikuwa ni utata kuhusu mkataba wake na mabosi wake wa zamani Yanga mchezaji huyo ameandika ujumbe wa kushukuru. Jana Novemba 22 CAS ilitoa hukumu kwa kueleza kuwa imetupilia mbali rufaa ya kesi iliyokatwa na Yanga kuhusu dili la mkataba…

Read More

AJIBU YAMEMKUTA SIMBA CHINI YA PABLO

KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, hakuweza kumtumia kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Mchezo wake wa kwanza kukaa benchi mbele ya Ruvu Shooting alishuhudia timu yake ikishinda mabao 3-1 ikiwa ni ushindi mkubwa kwa Simba msimu wa 2021/22. Alifanya kazi kwa kushirikiana na…

Read More

SIMULIZI KUHUSU JAMAA ALIYEPOTEA KWA MUDA KISA SHILINGI

SIMULIZI ya kuhusu aliyepotea kwa muda usiojulikana kisa fedha:- Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi ambapo wafanyikazi walichakuliwa watakaopata kibarua siku ile. Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe kwelikweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.Katika harakati zangu za…

Read More

MWENDO WA AZAM FC BAADA YA MECHI 6

AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina baada ya kucheza mechi 6 za Ligi Kuu Bara imekusanya pointi 7 msimu wa 2021/22. Ipo nafasi ya 10 na imetupia mabao matano huku ikiwa imeruhusu mabao ya kufungwa 7. Haijawa kwenye mwendo mzuri kwa mechi hizi za mwanzo kwa kile ambacho kimeelezwa kuwa ni kushindwa kutumia…

Read More

MANE ATAKA MKWANJA KAMA WA SALAH

WINGA matata ndani ya kikosi cha Liverpool, Sadio Mane imeripotiwa kwamba anataka mshahara kama anaopewa mshambuliaji matata ndani ya kikosi hicho Mohamed Salah. Kiwango cha Mane msimu huu wa 2021/22 kimezidi kuwa imara akiwa ametupia mabao saba kwenye mechi 12 ambazo amecheza mpaka sasa ndani ya Ligi Kuu England. Mkwanja ambao anakuja kwa wiki Salah…

Read More

MAYELE HATARI YAKE NI KILA BAADA YA DAKIKA 399

  MSHAMBULIAJI Fiston Mayele raia wa DR Congo mali ya Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 16 baada ya kucheza mechi sita na kufunga jumla ya mabao 10 amehusika kwenye mabao matatu . Nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja…

Read More