
KUMBE MBRAZIL WA SIMBA ALIKUWA NA MKATABA MPAKA 2024
MILTON Nienov, raia wa Brazil aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Klabu ya Simba amebainisha kuwa alikuwa amesaini dili jipya la kuendelea kuitumikia timu hiyo mpaka 2024 ila haikuwa hivyo baada ya mabosi wa timu hiyo kuamua kuvunja mkataba wake. Nienov alikuwa akimnoa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula, Beno Kakolanya, Jeremia Kisubi na…