AZIZ KI NA FEI WANA REKODI ZAO BONGO

KIUNGO mshambuliaji ndani ya Azam FC, Feisal Salum, maarufu kama Fei Toto anaingia kwenye orodha ya nyota waliofunga hat trick mapema ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Huku mwamba Aziz Ki wa Yanga akiingia kwenye rekodi ya nyota aliyefunga hat trick nyingi ambazo ni mbili. Mbali na Fei  kuwa mfungaji wa hat trick…

Read More

USAJILI WA YANGA BALAA ZITO LINAKUJA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya usajili wa kishindo katika dirisha kubwa la usajili ambalo limefunguliwa Juni 15 2024.  Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi ina mpago wa kuongeza washambuliaji pamoja na mabeki katika kikosi kwa msimu ujao. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 wataipeperusha…

Read More

ULIMWENGU WA KASINO NA MAGIC POKER

Shinda mpaka mara 800 kwa dau lako unapocheza kasino, mchezo wa KARATA maarufu duniani, unaitwa Magic Poker unapatikana Meridianbet kasino ya Mtandaoni. Jisajili ushinde. Magic Poker ni mchezo mpya wa poker kutoka kasino ya mtandaoni ya meridianbet, uliotengenezwa na kampuni ya Wazdan Casino. Odds kubwa zitokanazo na kupata mikono mizuri ya poker na bonasi maalum…

Read More

KIUNGO WA KAZI YAMEMKUTA YANGA

IMEELEZWA kuwa Yanga ipo katika hatua za mwisho na kiungo wake mshambuliaji, Mghana Augustine Okrah ya kusitisha kusitisha mkataba au kumtoa kwa mkopo ndani au nje ya nchi mwishoni mwa msimu huu. Kiungo huyo alikuwepo katika kikosi cha Simba, katika msimu uliopita kabla ya kuomba mkataba wake uvunjwe ili aende akatafute changamoto nyingine mpya nyumbani…

Read More

VUNA BONASI YA KASINO HADI TSH 2,500,000/= MERIDIANBET

Promosheni ya Shindano la Expanse kupitia Kasino ya Mtandaoni Meridianbet, bado inaendelea na una weza kushinda mgao wako wa Tsh Milioni 2,500,000/=, sharti ni moja tu kuchezo mmchezo wowote wa Expanse iliyopo Meridianebet Kasino. Jisajili Meridianbet kuwa sehemu ya washindi. Michezo ya Kasino inaweza kukufanya uwe tajiri, ambapo Meridianbet watatoa bonasi za kasino kwa washindi…

Read More

CHILUNDA NDO BASI TENA SIMBA

NYOTA wa Simba kwa msimu wa 2023/24 ambaye alikuwa ingizo jipya kwenye kikosi hicho ndo basi tena kwa msimu wa 2024/25 hatakuwa kwenye uzi wa nyekundu nyeupe. Ni  Shaban Chilunda amekutana na Thank You kutoka kwa timu hiyo ambayo ipo kwenye maboresho kuelekea msimu mpya baada ya kugotea nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu Bara…

Read More

AMERICAN ROULETTE KASINO CHEZA UVUTE MKWANJA

Kasino Imetawaliwa na michezo mingi, kuna mchezo wa Roulette ambao Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo huo wa kasino ya mtandaoni, ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jisajili Meridianbet ili na wewe uanze kuweka heshima kwenye kasino. Dkt Jerecki alifariki akiwa na miaka 80…

Read More

AZIZ KI HANA JAMBO DOGO ANAVUNJA REKODI HUKO

MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba aliibuka Yanga akitokea ASEC Mimosas ya Ivory Coast msimu wa 2022/23 ambapo alikuwa akitajwa pia kuwaniwa na Simba inayonolewa na Juma Mgunda. Ki aliyetambulishwa…

Read More