
MATAJIRI AZAM HAO FAINALI NGAO YA JAMII
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wametinga hatua ya fainali Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 5-2 Coastal Union katika hatua ya nusu fainali. Ni Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar nusu fainali ya kwanza imechezwa anasubiriwa mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Yanga na Simba, Uwanja wa Mkapa Sillah alipachika bao dakika…