
KITAWAKA LEO FAINALI YA KOMBE LA NGAO YA JAMII UWANJA WA MKAPA
? #CommunityShield ⚽️ Young Africans SC?Azam FC ? 11.08.2024 ? Benjamin Mkapa ? 7:00PM
? #CommunityShield ⚽️ Young Africans SC?Azam FC ? 11.08.2024 ? Benjamin Mkapa ? 7:00PM
Kwa mjibu wa Msemaji wa timu ya Vital’O FC ya Burundi, Arsene Bucuti amefahamisha kuwa mechi ya awali ya Klabu bingwa ya Afrika kati ya timu hiyo na Yanga SC itapigwa katika Uwanja wa Azam Complex majira ya saa kumi kamili alasiri wiki ijayo. Vital’O FC ambayo ipo jijini Mwanza katika mechi ya kirafiki dhidi…
Ongeza Mzuka na michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, promosheni yenye kutoa Mamilioni kwa wachezaji wote. Jiunge na Meridianbet kasino upate bonasi ya ukaribisho ya 300%. Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na…
Manchester City imetwaa Ngao ya Hisani England kufuatia ushindi wa penalti 7-6 dhidi ya Manchester United katika dimba la Wembley. Mchezo huo ulilazimika kuamuliwa kwa matuta baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika kwa sare ya 1-1. FT: Man City 1-1 Man United (P 7-6) ⚽ Silva 88’ ⚽ Garbacho 92’ MATUTA: Man City: ❌…
Spinning Buddha ni sloti ya kasino ya mtandaoni ambayo ina safuwima tano zilizopangwa kwa safu tatu na ina mipangilio 15 isiyobadilika. Ili kupata ushindi wowote unahitaji kulinganisha alama tatu au zaidi zinazolingana kwenye mistari ya malipo. Jisajili ushinde Mamilioni ya Meridianbet. Kuna bonasi ya Ukaribisho ya 300%. Buddha ndiye mhusika pekee kwenye sheria hii. Pia,…
Pazia la Ligi Kuu England linafunguliwa rasmi leo Agosti 10, 2024 kwa mchezo mmoja wa Ngao ya Jamii kati ya Mabingwa wa Ligi Kuu England, Man City dhidi ya Mabingwa wa kombe la FA, Man United kwenye Manchester ‘Derby’ Timu hizi zitakutana takribani miezi miwili na nusu tangu fainali ya kombe la FA ambapo Manchester…
Mshindi namba tano wa mashindano ya Olimpiki ya majira ya joto mwaka 2016 jijini Rio de Janeiro, Mtanzania Alphonce Felix Simbu ameshindwa kutamba kwenye Olimpiki ya mwaka huu jijini Paris, baada ya kumaliza nafasi ya 17 kwenye mbio ndefu za wanaume akitumia muda wa saa 2:10:03. Licha ya kumaliza nafasi ya 17 kwa muda huo,…
Leo kitapigwa kipute kikali kati ya Manchester City dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ngao ya hisani, Mchezo huu ndo utafungua njia ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2024/25. Manchester City leo watashuka dimbani wakiwa wanapewa nafasi zaidi ya kushinda mchezo wa leo kutokana na ubora wa kikosi chao,…
Ndege chapa ATR 72-500 inayomilikiwa na kampuni ya Voepass ilianguka jioni ya jana katika mji wa Vinhedo, wakati ikitokea jimbo la kusini la Parana kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sao Paulo. Juhudi za kuipata na kuitambua miili zilikuwa zinaendelea hadi alfajiri ya leo. Mamlaka ya ajali za anga ya Brazil, CENIPA, imetangaza kuanza…
Mzee Said mchambuzi wa soka nchini amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa klabu ya Yanga SC ijipange katika mchezo ujao kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 19, 2024. Mzee Said ameeleza hayo mara baada ya kuchambua mchezo uliotamatika hapo jana katika dimba la Benjamin Mkapa ambapo klabu ya Simba…
Mzee Magoma Rasmi ameshindwa kwenye kesi yake dhidi ya Yanga ambapo hukumu imetoka leo asubuhi saa 5 Katika mahakama ya kisutu na anatakiwa kuilipa fidia Yanga
Bilas haka umewahi kuisikia hadithi ya Eldorado. Hadithi ambayo inatoka kwa Wahindi wa Amerika Kusini inasema kwamba Eldorado ni mkoa ambao una utajiri mwingi. Jisajili na Meridianbet kwa ushindi mkubwa. Meridianbet na Expanse wanakuletea mchezo mwingine wa kasino ya mtandaoni wa Maya’s Treasure. Unaelezea mtaalam wa akiolojia mchanga wa Kiingereza, mwenye akili na wa…
YANGA hii unaifungaje? Mashabiki wametuma tambo kimtindo kwa watani zao wa jadi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkapa. Ngoma imemalizwa dakika 44 za kipindi cha kwanza baada ya Simba kufanya makosa kwenye kuokoa mpira ambao ulionekana hauna madhara kwenye miguu…
YANGA wametumia dakika 44 kuwaadhibu Simba katika Ngao ya Jamii mchezo wa nusu fainali Uwanja wa Mkapa kukiwa na dakika 45 za kipindi cha pili zimebaki. Maamuzi ya haraka kwa wachezaji wa Yanga katika kutoa pasi yamewapa wakati mgumu Simba katika eneo la ulinzi linaloongozwa na Che Malone Fondoh. Bao la kuongoza ni mali ya…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wametinga hatua ya fainali Ngao ya Jamii kwa ushindi wa mabao 5-2 Coastal Union katika hatua ya nusu fainali. Ni Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar nusu fainali ya kwanza imechezwa anasubiriwa mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Yanga na Simba, Uwanja wa Mkapa Sillah alipachika bao dakika…
KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya matajiri wa Dar, Azam FC dhidi ya Wagosi wa Kaya, kutoka Tanga, Coastal Union maofisa habari wa timu zote mbili wamepigana mikwarakwa kubainisha kuwa wote wanahitaji ushindi. Kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar mshindi atakutana na Yanga…