
MASHUJAA YATUMA UJUMBE HUU SIMBA
BENCHI la ufundi la Mashujaa limebainisha kuwa linahitaji pointi tatu za mnyama kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC unaotarajiwa kuchezwa leo Novemba Mosi 2024, Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma. Huu ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili ndani ya ligi kwa Novemba ambapo kila timu hesabu kubwa ni kusepa…