
SIMBA YAKIRI WAPINZANI WAO KIMATAIFA SIO WANYONGE
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapinzani wao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika sio wanyonge hivyo watawakabili kwa tahadhari kupata matokeo chanya kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Septemba 15 2024 nchini Libya. Tayari msafara wa Simba umeanza safari kuwafuata wapinzani wao ambapo Septemba 11 mapema kikosi kilikwea pipa kutoka Bongo na kuweka kambi Uturuki na mapema…