
MERIDIANBET YATOA MSAADA MBAGALA LEO
Kampuni ya Meridianbet imefanikiwa kutoa msaada leo katika eneo la Mbagala Kingugijijini Dar-es-salaam katika moja ya familia zenye uhitaji. Huu umekua utaratibu wa miaka mingi wa mabingwa hao wa kubashiri kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao haswa kwenye watu wenye uhitaji, Leo wamefika kwenye familia ya mzee Yusuph Mdogwa mwenye ulemavu wa macho na kurejesha tabasamu…