
MATUMAINI YA TANZANIA OLYMPIC 2024 YAPO KWA SIMBU NA WENZAKE
Matumaini ya Tanzania kwenye michuano ya Olympic 2024 yanayoendelea nchini Ufaransa kwasasa yapo kwa Alphonce Simbu pamoja na wenzake ambao wanaiwakilisha nchi kwenye mchezo wa kukimbia mbio ndefu (Marathon). Mpaka sasa Tanzania imebaki kwenye michuano miwili ambayo ni wa kuongea ambapo kuna mshiriki mmoja huku mmoja akiwa tayari ameondoshwa, Lakini kwenye riadha mbio ndefu wamebaki…