
ISHU YA KIBU KUCHELEWA KAMBINI IPO HIVI
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba aliweka wazi sababu za Kibu Dennis kuchelewa kujiunga na timu kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza Agosti 16.