
NGOMA INAPIGWA LAKE TANGANYIKA, MASHUJAA V SIMBA
UWANJA wa Lake TanganyikaMashujaa 0-1 SimbaLigi Kuu BaraMukwala goal dk 90.Omary Mdoe, refa UBAO wa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma unasoma Mashujaa 0-0 Simba ikiwa ni dakika 45 za mwanzo kwenye msako wa pointi tatu. Erick Johora kipa wa Mashujaa amekuwa kwenye ubora ndani ya dakika 45 akiokoa zaidi ya hatari tatu…