
SIMBA KUKIPIGA JUMATANO LIGI KUU BARA
BAADA ya kupata ushindi kwenye mchezo uliopita dhidi ya Mashujaa FC katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kituo kinachofuata kwa Simba ni Jumatano dhidi ya KMC. Katika mchezo huo Simba ilipata bao la jioni kupitia kwa mshambuliaji Steven Mukwala ambaye alitumia pasi ya Awesu Awesu katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa na bao lilifungwa…