
DIAO AREJEA ACHEKELEA KUFUNGA MBELE YA FOUNTAIN GATE
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, mwili jumba, Alassane Diao amerejea kwa mara ya kwanza msimu wa 2024/25 uwanjani kwa kupata nafasi ya kucheza dhidi ya Fountain Gate ambapo aliingia kipindi cha pili akitokea benchi na kufunga bao moja kati ya mawili yaliyofungwa na timu hiyo. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Diao akiwa na uzi wa…