
AZAM FC YAACHANA NA NYOTA MKONGOMANI, YANNICK BANGALA
Klabu ya Azam FC imeachana na nyota Mkongomani, Yannick Bangala baada ya kudumu klabuni hapo Kwa mwaka mmoja na Nusu. Bangala alianza kupoteza nafasi kwenye kikosi cha kwanza msimu huu kabla ya kukatwa Rasmi katika dirisha dogo.