
HAO TABORA UNITED WANA BALAA ZITO, SIO YANGA, AZAM KICHAPO
TABORA United inayonolewa na Kocha Mkuu, Anicet Kiazmak imekuwa katika mwendo bora kwenye msako wa pointi tatu ndani ya NBC Premier League ikiwapa tabu washindani wake ndani ya dakika 90. Katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa Desemba 13 2024 walisepa na pointi tatu mazima dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC. Baada…