
M-Bet, HALO PESA KUWAZAWADIA MASHABIKI WA SOKA NA AMSHA AMSHA
MASHABIKI soka wa Tanzania, wanaweza kujishindia zawadi mbalimbali ikiwa pamoja na fedha kupitia kampeni ya Amsha Amsha iliyozinduliwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet Tanzania na Halotel. Meneja Masoko wa M-Bet, Levis Paul alisema kuwa mbali ya zawadi ya fedha ya Sh50,000 kwa washindi wawili kwa siku, pia mashabiki wa soka wanaweza kujishindia…