PANGA LINAPITA SIMBA, HAWA HAPA KUKUTANA NACHO
IKIWA kwenye mwendo wa kusuasua ndani ya msimu wa 2023/24 baada ya kufungashia virago Robero Oliveira aliyekuwa kocha wa Simba kuna wachezaji ambao watapewa mkono wa asante ndani ya timu hiyo
IKIWA kwenye mwendo wa kusuasua ndani ya msimu wa 2023/24 baada ya kufungashia virago Robero Oliveira aliyekuwa kocha wa Simba kuna wachezaji ambao watapewa mkono wa asante ndani ya timu hiyo
KUELEKA kwenye Simba Day Agosti 6 2023 Dr Shabiki wa Simba amebainisha kuwa Yanga wana mpango wa kuvuruga tamasha hilo. Yanga imekamilisha jambo lao kwa kuwatambulisha wachezaji wapya kwa ajili ya kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24. Yanga imewatambulisha Max Zengeli, Skudu ambao wanaingia kwenye kikosi cha Yanga inayonolewa na Miguel Gamondi….
Pazia la NBC Premier League linatarajiwa kufunguliwa rasmi Agosti 14 huku Simba SC ikiwa na mechi 5 za moto mwanzo wa msimu kusaka pointi 3 muhimu. Simba SC ilimaliza nafasi ya pili kwenye msimamo baada ya mechi 30 ikivuna pointi 73 tofauti ya pointi 2 na mabingwa Yanga SC waliomaliza msimu wakiwa na pointi 75….
KIBU Dennis kiungo mshambuliaji wa Simba amejihakikishia nafasi kikosi cha kwanza chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ambapo kwenye mechi mbili mfululizo alianza kikosi cha kwanza. Katika Kariakoo Dabi, Kibu hakukomba dakika 90 lakini aliingia kwenye orodha ya nyota waliochezewa faulo zaidi ya tano ndani ya uwanja na mojawapo alisababisha kadi ya njano kwa Dickson…
Mwanamama ambaye huko nyuma alikuwa akifanya kazi mbalimbali za kiburudani za kuwapeleka wasanii mbalimbali wa hapa nchini kufanya show nje ya nchi @ukhtydidas na aliyekuwa mke wa msanii wa Bongo Fleva, Q Chief amefunguka mambo mbalimbali aliyoyapitia kwenye maisha yake ikiwemo ishu ya kunyan’ganywa watoto wake na wazungu na kukaa nao mbali zaidi ya miaka…
WACHEZAJI watatu tegemeo wa Simba, Chris Mugalu, Kibu Denis na Hassan Dilunga, wapo katika hatihati ya kuongozana na msafara wa timu hiyo utakaokwenda nchini Niger. Simba leo inatarajiwa kusafiri kuelekea Niger kuvaana na US Gendarmerie kwa ajili ya mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika utakaochezwa Jumapili hii. Katika michuano hiyo, Simba wapo Kundi D na timu za ASEC…
OKTOBA 24 leo kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kinatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Jwaneng Galaxy ambao utakuwa ni wa marudio. Katika mchezo wa kwanza, Simba ilishinda mabao 2-0 hivyo leo ina kazi ya kulinda ushindi wake pamoja na kusaka ushindi ili kuongeza nafasi…
JUMAPILI ya kufosi kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi imejibu kwa kuibuka na ushindi mbele ya KMC mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Yanga kucheza uwanja wa nyumbani baada ya kucheza mechi mbili ugenini kwa kuanza na Kagera Sugar 0-2 Yanga, Ken Gold 0-1 Yanga hizi zote…
NJIA ambayo inatumika katika kusaka ushindi kwa kila timu ni maandalizi mazuri na wachezaji kupambana bila kuchoka ndani ya uwanja. Imekuwa hivyo kwa timu ambazo tayari zimekamilisha hesabu za mzunguko wa kwanza na nyingine bado mechi moja mkononi kufanya hivyo. Hakuna namna nyingine inayotakiwa kufanyika zaidi ya kila timu kuweza kufanya maandalizi mazuri kwa kuwa…
Sidney Poitier, ambaye alivuka vikwazo vya rangi kama mshindi wa kwanza Mweusi wa mwigizaji bora Oscar kwa jukumu lake katika filamu ya Lilies of the Field, na kuhamasisha kizazi wakati wa harakati za haki za kiraia, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94 Sidney Poitier, ambaye alivuka vikwazo vya rangi kama mshindi wa…
TARATIBU dawa inazidi kuingia kwenye kidonda ambacho kinaendelea kupona. Licha ya kuendelea kwa maumivu ambayo mgonjwa anapata bado inatakiwa umakini kwenye uangalizi. Ni mzunguko wa kwanza wenye ushindani mkubwa kwa kila timu kuonyesha shauku ya kupata ushindi. Ipo wazi kwamba hakuna anayependa kupoteza mchezo na kasi inaonekana. Kwa namna kasi ilivyo basi ni muhimu kwa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa matokeo ambayo wameyapata ugenini kimataifa walikuwa hawajatarajia hivyo watafanyia kazi makosa kuwa bora kwa mechi zijazo kitaifa na kimataifa. Yanga haijaanza kwa mwendo mzuri kimataifa hatua ya makundi kwenye mechi mbili mfululizo ikipoteza pointi sita msimu wa 2024/25 kituo kinachofuata itakuwa ugenini dhidi ya TP Mazembe. Ikumbukwe…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unahitaji ushindi mbele ya Red Arrows ili uweze kufikia malengo ya kutinga hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho. Leo Desemba 5 Simba ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya Red Arrows kwenye mchezo wa marudio unaotarajiwa kuchezwa nchini Zambia wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 3-0 kwenye…
NIMEONA kwa sasa lawama nyingi zimekuwa kwenye safu ya ushambuliaji ya Simba kitaifa na kimataifa, hakika ni kweli wanakosea na wanashindwa kufunga lakini je lawama hizi zinamstahili John Bocco pekee? Ukianza kwenye mechi za ligi ule dhidi ya Azam FC wakati wakitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 bado Bocco anatajwa kuwa sababu za Simba kushindwa…
KLABU ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kutoka Al Ahly ya Misri. Hiyo ni baada ya Luis kuwa na wakati mgumu ndani ya Al Ahly tangu alipojiunga na timu hiyo Agosti 26, 2021 akisaini mkataba wa miaka minne akitokea Simba. Baada ya Al…
Kikosi cha Simba SC dhidi ya Stade Malien mchezo wa pili CAF Champions League hatua ya makundi Novemba 30,2025 kipo namna hii:- Yakoub Suleiman, Anthony Mligo, Joshua Mutale, Jean Ahoua, Shomari Kapombe, De Reuck. Naby Camara, Wilson Nangu, Ellie Mpanzu, Neo Maema na Seleman Mwalimu. Akiba ni Hussen Abel, Duchu, Chamou, Yusuph Kagoma, Semfuko, Kante,…
NYOTA wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameweka historia kwa mara nyingine kwa kuiongoza timu hiyo kushinda mbele ya Ghana. Ghana kutoka Afrika haikuwa na bahati kwenye mchezo uliochezwa Alhamisi baada ya kutunguliwa mabao 3-2. Nyota huyo alifunga kwenye mchezo huo na aligoma kujibu swali kuhusu kuondoka kwake ndani ya kikosi cha Manchester…