XAVI KOCHA MPYA BARCELONA

XAVI Hernandez atakuja kuwa kocha mpya wa Barcelona baada ya mabosi wake Al Sadd kuthibitisha kuhusu hilo. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Al Sadd imeeleza kuwa wamefikia makubaliano mazuri na Xavi kuhusu suala la malipo pamoja na kumuacha aende kwa amani kuanza changamoto mpya. Xavi alikuwa anahusishwa kurejea kwa mara nyingine ndani ya Nou Camp…

Read More

LEO KITAWAKA AFRIKA MPAKA KULE ULAYA, PIGA PESA HAPA, TANZANIA USO KWA USO DHIDI YA ZAMBIA

Meridianbet wanakuuliza kuwa kama sio kupiga pesa leo utapiga lini?. Leo hii kuna mechi nyingi hapa Afrika mpaka kule Ulaya. Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako utengeneze jamvi lako na ubashiri kijanja hapa. Rwanda atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Lesotho huku timu hizi zikiwa zimefatana kwenye msimamo. Mwenyeji anashika nafasi ya 2…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA BAADA YA KUONGEZWA KISINDA

KUKAMILISHA usajili wa nyota Tuisila Kisinda ambaye ni kiungo kunaongeza nguvu kwenye kikosi hicho kwenye mechi za ushindani.  Huenda Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi akaamua kuanza na nyota wake wapya amoja na wale ambao walikuwa na kikosi hicho kwa msimu uliopita wa 2022/23 kwenye mchezo wake mmoja wa ligi ama kitaifa.  Nyota hao 11…

Read More

KMC V NAMUNGO FC KESHO KINAWAKA

“TUNAHITAJI kushinda na sio matokeo mabaya kwenye mechi zetu ambazo tunacheza na kila kitu kinakwenda sawa,” ni Christina Mwagala, Ofisa Habari wa KMC. Timu hiyo inakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Huo ni mzunguko wa pili ambapo kila timu inasaka ushindi kwa hali na mali kufikia…

Read More

MAYELE ACHEKELEA KUTUPIA CAF

MSHAMBULIAJI namba moja wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa anafuraha ya kuwa miongoni mwa nyota walioweka historia kwa kufunga mabao mengi Ligi ya Mabingwa Afrika. Mayele katupia mabao sita msimu huu alifunga hat trick mbili ilikuwa mbele ya Zalan FC kwenye mechi mbili za hatua ya awali. Nyota huyo amesema:”Ilikuwa ni mechi ngumu kwetu mbele…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA TAIFA STARS KUFUZU CHAN

Kocha ambaye atakiongoza kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya wachezaji wa Ligi ya ndani Bakar Shime, ameita wachezaji kwa ajili ya mchezo wa kwanza dhidi ya Sudan ambao unatarajiwa kuchezwa Oktoba 27, 2024 nchini Mauritania. Shime amesema, ameita wachezaji wengi kutoka timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ ilikuendelea…

Read More

GEITA GOLD YAIPIGIA HESABU SIMBA

KOCHA Mkuu wa Geita Gold, Dennis Kitambi ameweka wazi kuwa anatambua mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kusaka pointi tatu muhimu. Mchezo huo ni mzunguko wa pili ambapo kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao ulisoma Geita Gold 0-1 Simba. Simba…

Read More

BURUNDI KUCHEZA NA CAMEROON UWANJA WA MKAPA

TIMU ya Taifa ya Burundi inatarajia kukabiliana na Timu ya Taifa ya Cameroon katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, Juni 9,2022. Kuelekea mchezo huo, Shirikisho la Soka la Burundi kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu, Riziki Jacob limeishukuru Tanzania kwa kuikaribisha timu hiyo pamoja na ukarimu walioupata kutoka kwa wadhamini wao Kampuni ya…

Read More