Pirates Power Yatikisa Meridianbet kwa Bonasi na Ushindi wa Kusisimua
Mawimbi ya bahari yamebeba habari njema kwa mashabiki wa sloti. Pirates Power kutoka Meridianbet imewasili ikiwa na burudani ya kiwango cha juu na nafasi za ushindi zinazoweza kukufanya uwe gumzo mtaani. Ndani ya mchezo huu, kila mzunguko umejaa mshangao. Ukiwa na nafasi ya kushinda hadi x5000 ya dau lako, kila mzunguko unaweza kuleta matokeo makubwa…
KOMBE LIPO UWANJA WA SOKOINE,MBEYA CITY 0-1 YANGA
KOMBE Jipya la Ligi Kuu Bara la NBC lipo Uwanja wa Sokoine, Mbeya,ambapo mabingwa wa msimu wa 2021/22 watakabidhiwa mara baada ya kukamilisha dk 90 mbele ya Mbeya City. Kwa sasa mchezo ni mapumziko ampabo ubao unasoma Mbeya City 0-1 Yanga mtupiaji akiwa ni Heritier Makambo dk ya 39 kwa shuti lililoweza kugonga mwaba kabla…
KIKOSI CHA DODOMA JIJI CHAPATA AJALI
KIKOSI cha Dodoma Jiji kimepata ajali ya basi wakati wakirejea Dar kutoka Ruangwa walipomaliza mchezo wa ligi dhidi ya Namungo FC waliotoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2. Kwenye mchezo huo Dodoma Jiji waligawana pointi mojamoja ugenini katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa huku mlinda mlango Ngelekea Katembua akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo. Taarifa zimeeleza…
VIDEO:TAZAMA NAMNA KISINDA ALIVYOTUA BONGO
KIUNGO wa Yanga, Tuisila Kisinda kwa sasa yupo ndani ya ardhi ya Tanzania baada ya kusajiliwa kwenye kikosi hicho na alikuwa miongoni mwa walioshuhudia mchezo wa ligi kati ya Yanga 2-2 Azam FC uliochezwa Uwanja wa Mkapa.
SERIKALI YAIPA TANO YANGA
NAIBU Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amewapa tano viongozi wa Yanga kwa kuandaa usafiri wa basi kwa ajili ya mashabiki kuelekea Afrika Kusini. Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns baada ya ule wa mkondo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa kutoshana…
SIMBA KUTINGA CAF KISA KOCHA ORLANDO PIRATES
BREAKING:Klabu ya Simba leo Aprili 19 imetoa taarifa ya kuhusu malalamiko ya uongo ya Kocha Mkuu wa Orlando Pirates, Mandla Nickazi alizotoa baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ambapo Orlando Pirates ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Taarifa hiyo imeeleza kwamba Simba imechukizwa na maneno ya kashfa yaliyotolewa na kocha huyo ambayo yanatabaisha ukosefu…
KIUNGO AKUBALI YAISHE YANGA AVUNJA MKATABA, ATIMKA
MARA baada ya kufikia makubaliano mazuri ya kuvunja mkataba na timu yake ya Yanga, kiungo Mrundi Gael Bigirimana amekubali yaishe na juzi Jumatatu mchana alipanda ndege kurejea nyumbani kwao Burundi. Hiyo ni baada ya kufikia makubaliano mazuri ya pande mbili mchezaji na timu yake ya zamani ya Yanga iliyokubali kumlipa Sh 700Mil kwa awamu tatu….
VIDEO:POPAT AZUNGUMZIA MCHEZO WAO DHIDI YA YANGA
ABDULKARIM Amin,’Popat’ Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa wanatambua kwamba mchezo wao wa kesho dhidi ya Yanga utakuwa na ushindani mkubwa lakini wamejipanga kusaka ushindi. Kesho Januari 10 Yanga inatarajiwa kucheza na Azam FC kwenye mchezo wa nusu fainali Kombe la Mapinduzi. Yanga ni mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi na mchezo…
YANGA YATUMA UJUMBE HUU KAGERA SUGAR
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba unahitaji pointi tatu kwenye mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hassan Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kwamba wanahitaji kupata pointi tatu mbele ya Kagera Sugar kwa kuwa mchezo ni mgumu na wanaamini watapata ushindi. “Mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar utakuwa…
MASHABIKI WA YANGA WAGAWA MAHITAJI MBALIMBALI KWA WAFUNGWA KATIKA GEREZA LA ISUPILO
MASHABIKI wa Tawi la Yanga Mjini Mafinga huko Iringa, wametoa huduma ya kuwakarimu wahitaji na waishio katika mazingira magumu wakiwemo Watoto yatima pamoja na kuwatembelea wafungwa katika Gereza la Isupilo Wilayani Mufindi. Mashabiki hao wamegawa mahitaji mbalimbali kwa wafungwa katika Gereza la Isupilo ikiwemo mafuta ya kupikia , Sabuni miche 75, Karanga debe moja na…
YANGA KWENYE MASHINDANO MATATU MAKUBWA
BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Klabu ya Yanga inakuwa kwenye mashindano makubwa inayoshiriki. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia Aprili 30 iliandika rekodi yake mpya ya kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-0 Rivers United. Mabao hayo yote Yanga ilishinda ikiwa…
HAWA HAPA WANAWANIA NAFASI SIMBA, LEO NI LEO
LEO Jumapili Klabu ya Sima inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wenye ajenda 13 ikiwemo suala la uchaguzimkuu wa kuchagua mwenyekiti na wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi. Katika uchaguzi huo wanaowania nafasi ya mwenyekiti ni Murtanza Mangungu anayetetea kiti chake na Moses Kaluwa. Wajumbe ni Seif Ramadhan Muba, Seleman Harub Said,Iddi Halifa Kitete,Issa Masoud Iddi,Abubabakar Zebo,Abdallah…
KILICHOPANDWA KIMEVUNWA KOMBE LA SHIRIKISHO
MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa nah ii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…
VIWANJA VIBORESHWE LIGI IZIDI KUWA NA UBORA
KILA leo tunashuhudia ligi yenye ushindani mkubwa kwa kila timu kuwa na mpango wa kuvuna pointi tatu kwenye mchezo husika. Katika mwendo wa ligi ambayo ushindani wake ni mkubwa tunaona kila timu inapambana kusaka ushindi na wale wanaotumia makosa ya wapinzani wanapata kile wanachostahili. Ushindani umekuwa mkubwa na hali hii inatakiwa kuwa endelevu mpaka mwisho…
KUMALIZA TOP 4 KWA TOTTENHAM KUNAMTEGEMEA KANE
PAUL Merson kiungo wa zamani wa Arsenal amesema kuwa wapinzani wake wa zamani Tottenham Hotspur wana nafasi ya kumaliza ndani ya Top 4 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Nyota huyo ameweka wazi kuwa ikiwa mshambuliaji wa timu hiyo Harry Kane akiumia mambo yatakuwa ni magumu zaidi kwao. Ikumbukwe kwamba hata Arsenal inawania nafasi ya…
YANGA YAIJIBU TFF, DAWA YA DENI NI KULIPA KWA WAKATI
Klabu ya Yanga imejibu mapigo baada ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kudai klabu hiyo fedha zao za zawadi katika mashindano mbalimbali zikatwe kulipia malipo wanayotakiwa kuilipa kwa TFF huku ikidai kuwa haijawahi kulipwa fedha yoyote ya Ubingwa wa Kombe la Shirikisho kwa Misimu mitatu mfululizo, (2021/2022, 2022/2023 na 2023/24). Taarifa ya leo Juni 10,…