MAYELE AWAKIMBIZA TANZANIA PRISONS

WAKATI leo kikosi cha Tanzania Prisons ikiwa na kazi ya kuikabili Yanga,safu yake ya ushambuliaji inaonekana kuwa pasua kichwa kwenye utupiaji. Ikiwa imecheza jumla ya mechi 22 ni mabao 15 imeweza kufunga ndani ya ligi katika dakika 1,980 ikiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dk 132. Kinara wa utupiaji wa mabao…

Read More

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 24

BAADA ya mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kuahirishwa kutokana na asilimia kubwa ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua na homa leo wanatarajiwa kuwa kazini. Desemba 24, Simba inatarajiwa kukaribishwa na Wanakino Boys, Uwanja wa Al Hassan Mwinyi, Tabora. Itakuwa ni KMC v Simba leo. Pia Coastal Union iliyotoka kushinda bao 1-0 dhidi ya…

Read More

AZAM FC DAKIKA 180 NI MATESO

NDANI ya dakika 180, ukuta wa Azam FC umeruhusu mabao sita katika mechi za Ligi Kuu Bara. Ilianza dhidi ya Yanga 3-2 Azam FC huku mabao yote Kwa Azam FC yalifungwa na Aziz KI. Oktoba 28 2023 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 1-3 Namungo FC. Mabao ya Namungo FC yalipachikwa na…

Read More

Kagoma, Kibabage kuikosa Kariakoo Dabi?

NYOTA wa Simba SC Nikson Kibabage, Anicent Oura na Yusuph Kagoma uwezekano wa kuikosa Kariakoo Dabi kesho ni mdogo kulingana na maendeleao yao kuzidi kuwa imara. Awali wachezaji hao walileta mshtuko kutokana na maumivu ambayo walipata kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Muungano Cup 2026 dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa New Amaan Complex. Ahmed Ally,…

Read More

PHIRI ANATEGEMEA JAMBO HILI SIMBA

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Moses Phiri, amesema kuwa anategemea kupata ushirikiano mzuri ndani ya Simba kutoka kwa kiungo Clatous Chama na kuifanya timu hiyo kuwa tishio zaidi kwa msimu ujao jambo ambalo anaamini litaisaidia kurejea katika makali yake. Phiri ndio usajili wa kwanza kutambulishwa ndani ya Simba kwa msimu huu ambapo mchezaji huyo ana uraia…

Read More