
YANGA YAVUNA POINTI KIMATAIFA UGENINI, KAZI NZITO
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic imevuna pointi moja kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutoshana nguvu kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa TP Mazembe ukisoma TP Mazembe 1-1 Yanga. Katika mchezo wa Desemba 14 ambao ni watatu, Yanga ilianza kufungwa dakika ya 42 kupitia kwa Cheikh Fofana ambaye aliingia…