YACOUBA NA YANGA, MAISHA LAZIMA YAENDELEE

ALIKUWA moja ya wachezaji tegemeo ndani ya kikosi cha Yanga kwenye eneo la ushambuliaji ambapo aliunda pacha nzuri na Deus Kaseke. Yacouba amewaaga mabosi wa timu hiyo na kuwashukuru kwa muda ambao alikuwa nao ndani ya kikosi hicho. Alikuwa nje kwa muda wa msimu mzima akipambania hali yake baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa…

Read More

BACCA ANATAKA KUFUNGA KILA MECHI

BEKI wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Ibrahim Bacca amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba anafunga kila mechi. Nyota huyo alifungua akaunti ya mabao kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ken Gold uliochezwa Uwanja wa Sokoine akitumia pasi ya Aziz Ki ambaye kwenye mchezo huo alipiga faulo nje…

Read More

MANARA AKUBALI UBORA WA INONGA,ATAJA TATIZO LAKE

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa Henock Inonga beki wa Simba ni moja ya wachezaji wazuri lakini wanapenda kucheza na jukwaa. Inonga ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Pablo Franco ndani ya Simba anapewa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza Aprili 30 mbele ya Yanga. Manara amesema:“Inonga ni beki mzuri lakini sijui…

Read More

SIMBA YAMALIZANA NA WINGA WA MABAO

INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba umemalizana na winga wa mabao ndani ya Mtibwa Sugar, Ladack Chasambi. Nyota huyo jina lake lipo pia kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambacho kilikuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mechi za kimataifa hivi karibuni. Ilikuwa ni kwenye kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia…

Read More

MASAU BWIRE YUPO BIZE NA MAJUKUMU YA TAIFA

BAADA ya dakika 90 kukamilika kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Ruvu Shooting v Simba uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting alikuwa kwenye jukumu zito la kutimiza majukumu ya taifa.   Ubao ulisoma Ruvu Shooting 1-3 Simba na kufanya mabingwa hao watetezi kusepa na pointi tatu jumlajumla. Mabao ya…

Read More

STAMINA AACHIA ALBAM YAKE YA PILI

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Boniventure Kabogo (Stamina), ameachia album yake ya pili aliyoipa jina la Paradiso ambayo ina mkusanyiko wa jumla ya nyimbo 13. Wasanii alioshirikiana nao katika albamu hiyo ambayo imezinduliwa kupitia jukwaa la Boomplay, ni pamoja na Bele 9, Aslay, Linah, Walter Chilambo, Saraphina, Isha Mashauzi, Barakah The Prince na…

Read More

Nai Azungumzia Tetesi Zake na Pacome Zouzoua Kupitia Global TV

Baada ya tetesi kusambaa kwa muda mrefu mitandaoni zikimhusisha mwanadada @officiall_nai na staa wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, hatimaye mwenyewe ameamua kuvunja ukimya. Kupitia mahojiano ya mubashara na Global TV, Nai amefunguka na kuweka wazi ukweli kuhusu madai yanayoendelea kuzunguka mitandaoni, akieleza msimamo wake juu ya tetesi hizo zinazomhusisha na kiungo huyo wa Yanga. Mahojiano…

Read More

PAPE AWAOMBA MASHABIKI WAZIDI KUMPIGIA KURA

KIUNGO wa Simba, Pape Sakho amewaomba mashabiki na kila mmoja kuendelea na zoezi la kumpigia kura kwenye kipengele ambacho amechaguliwa kuwania tuzo ya bao bora la mwaka la CAF. Nyota huyo alifunga bao kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas ambapo alipachika bao hilo kwa mtindo wa tik taka, ilikuwa ni Uwanja wa Mkapa. Kwa sasa…

Read More

GUARDIOLA AKUBALI MUZIKI WA UNITED

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amekubali muziki wa wapinzani wake Manchester United kwa kuweka wazi kuwa ina wachezaji wazuri. Majira ya saa 9:30 muda wa kujipatia msosi Manchester United itakuwa ikimenyana na Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa Uwanja wa Old Trafford. Unatajwa kuwa moja ya mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa…

Read More

AIR MANULA MDOGOMDOGO ANAREJEA

AISHI Manula, ‘Air Manula’ kipa namba moja wa Simba taratibu anazidi kurejea kwenye uimara wake baada ya kuwa kwenye mwendelezo wa matiabu ya afya yake. Ikumbukwe kwamba kipa huyo ni chaguo namba moja la Kocha Mkuu, Roberto oliveira hakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza Kariakoo Dabi ya mzunguko wa pili ni mikono ya kipa namba tatu…

Read More

SIMBA NI MWENDO WA FULL PACKAGE

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umechukua muziki kamili wa benchi la ufundi ambalo litakuwa na kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo Ipo wazi kuwa Novemba 5 baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-5 Yanga mambo yalibadilika kwenye benchi la ufundi, Roberto Oliveira aliyekuwa kocha mkuu alisitishiwa mkataba wake Novemba 7….

Read More

MASHINDANO YA AFL KUFANYIKA OKTOBA, UZINDUZI WA KIHISTORIA

MASHINDANO ya klabu bora barani Afrika, African Footal League , (AFL) yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 2023, uzinduzi wake wake unatarajiwa kufanyika Dar, Tanzania. Ni mechi ya kwanza inatarajiwa kuchezwa Dar Oktoba 20,2023 ikiwa ni fursa kwa wachezaji bora Afrika kuonyesha uwezo wao kwenye ulimwengu wa michezo duniani. Mashindano hayo yanatarajiwa kuanzia katika hatia ya robo fainali…

Read More