
AUCHO KUIKOSA AZAM FC
KIUNGO wa Yanga, chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi atakosekana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex, Novemba 2 2024. Ni NBC wadhamini wa ligi yenye ushindani mkubwa huku Azam TV kwenye upande wa kurusha mubashara mechi zote za ligi msimu wa 2024/25. Sababu…