
MSHAMBULIAJI MUKWALA KAZINI TENA
BAADA ya kumaliza kazi kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara, Novemba Mosi 2024 mbele ya Mashujaa ya Kigoma mwisho wa reli, mshambuliaji Steven Mukwala, Leonel Ateba, Awesu Awesu ambaye ni kiungo mshambuliaji leo wana kibarua kingine mbele ya KMC. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika…